Usisumbuke na nguo zako. Leta Nifue tunakusaidia
Suluhisho lako namba moja la usafi wa nguo. Leta Nifue, tunajivunia kutoa huduma bora za Dry Cleaning na Laundry zinazozingatia ubora wa vitambaa vyako na muda wako..
Tunafua
Kwa kuzingatia ubora na material ya nguo.
Tunakausha
Kwa viwango makini pasipo kupoteza Ubora.
Tunakunja
Kwa kuzingatia umaridadi.
Faida za Kufungua Akaunti
Huduma zetu
Hizi ni Huduma zetu tunazofanya.
Wash & Fold
Kufua, kukausha na kupanga vizuri nguo zako kwa usafi na mpangilio mzuri.
Dry Cleaning
Huduma ya kitaalamu kwa suti, gauni, jackets na mavazi maalum.
Ironing
Pasi safi kwa nguo za kila siku, za ofisini na special care.
Duvets & Blankets
Usafishaji wa bedding kwa kiwango cha juu cha usafi.
Curtains
Usafishaji wa mapazia kwa umakini mkubwa na uangalifu.
Carpets & Rugs
Huduma ya kusafisha carpet na rugs kwa matokeo safi na mazuri.
Jinsi mfumo unavyofanya kazi
Tumehamisha booking kutoka homepage kwenda kwenye account ya mteja ili mfumo uwe professional zaidi.
1. Create Account
Mteja utatengeneza account kupitia Create Account.
2. Log In
Mteja anaingia kupitia login na kuweza kuona maendeleo ya oda yako.
3. Book & Track
Mteja unaweka booking, unaona history na kufuatilia order ndani ya dashboard yako.
Anza sasa na account ya mteja
Kama wewe ni mteja mpya, fungua account kwanza. Kama tayari una account, ingia moja kwa moja kwenye dashboard yako binafsi.
Wasiliana nasi
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma za Leta Nifue.
Quick Links
Tumia links hizi kuingia kwenye mfumo wa mteja au admin.